Karibu ndugu msomaji leo nimekuletea mwanamke shujaa kutoka makabila ya mijikenda kabila  lenye muunganiko wa makabila kenda ya kenya ambayo ni
Wadigo wako kusini kabisa  wakiingia hadi Tanzania.( Kwamujibu wa profesa Noor shariff katika makala ya DW, 'kiswahili kinawenyewe' kabila la Wagiryama ndilo kabila kubwa zaidi la kibantu) Shujaa mekatilili anatoka katika kundi la wagiriama na ndiye aliyewaongoza wagiriama kupigana na wakoloni katika kipindi cha ukoloni wa mwingereza. Mwanamke huyu anaheshimiwa zaidi katika kabila la wagiriama kama kiongozi wa kitamaduni na sherehe ya kumuenzi mama huyu aliyeletea sifa kabila la giriama hufanyika kila mwaka maeneo ya Kisii kule kenya bofya video hii kutazama


           


kukuletea makala haya ni mtaalamu wa sanaa, lugha na utamaduni, pamoja na lugha na TEHAMA
+255766605392