Uzuri wa usiku si giza lifunikalo dunia wala si kimya kinachotawala mazingira bali ni njozi njema zenye maono na matarajio yenye mafanikio. Nakutakia ucku mwema °·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.° Kama jicho langu halija kuona basi moyoni daima nakukumbuka na ikiwa dua zangu hazijakulinda basi mungu daima atakulinda,nami cna budi kukutakia usiku mwema. °·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.° Upendo ni tiba maradhi hukimbia. Salamu ni shiba biriani yazidiwa. Kukumbukana ni haiba nuru hutuangazia. Kwa furaha na mahaba sichoki kusalimia. Usiku mwema •·.·°¯ ·.·•*•·.·°¯ ·.·• Salio la macho yako halitoshi kuendelea kuona kwa sasa tafadhali tandika kitanda na ulale,kwa maelezo zaidi subiri usingizi ukolee uote ndoto nzuri. usiku mwema! •·.·°¯ ·.·•*•·.·°¯ ·.·• ni usiku tulivu wenye hali ya hewa saafi na usingizi wa amani ukishika hatamu kuzisafirisha fikra za binadamu katika ndoto! najua umechoka na pilikapilika za mchana ,jua na makelele na kila aina ya mwingiliano wa sauti ,ni wasaa mzuri sasa waku...
SMS 1000 za kubembeza, mapenzi na mahaba Najiuliza kila leo hivi ni mimi tu kimeo katika dunia hii ya leo maana kila leo nayempata huishia kunipa ahadi kila leo, mpenzi kila siku waniaidi mara nitakupa leo mara kabla ya machweo, hivi ni lini utanipa jibu la uhakika nakunipa mapenzi ya uhakika nipate farijika? Nakupenda mpenzi . Hakika mtoto umeumbika mithili ya malaika japo mbinguni sijafika lakini nauhakika kwa kila mwanaume aliyeumbika na kukamilika akikuona lazima udenda utamtoka, naomba japo yako dakika nipate kukueleza moyoni yaliyonifika kwani siwezi tena kuficha jinsi navyokupenda, nakupenda amini kwako nimefika! Nimezunguka pande zote za Tanzania macho nikiangaza kumsaka mrembo wakumkabidhi yangu nafsi na kulila tunda lake kwa nafasi huku nikimpa mahaba yangu ya dhati na sikuwahi kuhisi kama wewe ndiye ungeiteka yangu nafsi, nakupenda sweetie. Sijui nikuekleza namna gani uelewe yaliyionijaa moyoni kwani k...
MAAFA YA MV BUKOBA KILA KIFO NA SIKU YAKE May 21 kila mwaka tunakumbuka maafa ya MV BUKOBA 😿 Kila binadamu atakufa, lakini kila kifo kina siku yake. Nyaisa Simango, katika makala haya ana tudhihirishia hivyo. Vinginevyo ni vipi mtu anaweza kuelezea alivyo nusurika wakati mamia ya wenzake walio kuwa katika meli moja walishindwa kujiokoa. Ilikuwa sio siku yake. Ziwa victoria limekuwepo kwa karne na karne, watu wanaoishi kuzunguka ziwa hilo wamekuwa wakijishughulisha na shughuli mbalimbali. Kuvumbuliwa kwa Ngalawa, Jahazi, Boti, na meli kumewezesha kazi za usafirishaji kuwa rahisi. Bila shaka Simango alipo itwa na mkuu wake wakazi na kuarifiwa kuwa itabidi aende Bukoba kumpeleka mfungwa kusikiliza rufaa ya kesi yake alifurahi kwani angeweza kuona mandhari nzuri njiani. Ijapokuwa yeye anatoka katika nmkoa unao pakana na ziwa bado angefurahia kula samaki. Nakwavile hakuwahi kufika bukoba, safari ingempa fursa nzuri ya kutalii mjini...