ALAF ILIVYOWANEEMESHA WANAFUNZI UDSM LEO
Katika juhudi za kukuza na kuendeleza lugha ya kiswahili zinazofanywa na kampuni ya mabati ya Alaf, Kampuni hiyo kwa kushirikiana na taasisi ya taaluma za kiswahili iliahidi kutoka fursa za kuwafadhili wanafunzi waliofanya vizuri katika masomo ya kiswahili kwa shahada ya kwanza kuendelea na shahada ya pili, ambapo ahadi hiyo imetimizwa Leo katika hafla fupi. Mengi katika video
Video CC. Global TV
Video CC. Global TV
Comments
Post a Comment