PICHA 6 MUONEKANO WA MAKTABA YA KISASA UDSM



Majengo mbalimbali ya Maktaba ya Kisasa ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambayo imefunguliwa jana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli. Maktaba hio ina uwezo wa kuchukua Wanafunzi 2100 kwa wakati mmoja na uwezo wa kuhifadhi vitabu 800,000 


Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

SMS na MESEJI 900+ za mapenzi

MIAKA 22 SASA TANGU KUZAMA KWA MELI KUBWA YA MV BUKOBA, TANZANI TUMEJIFUNZA NINI?