KARANI WA BODI YA MITIHANI ADAI NYOKA AMEKULA MILIONI 227 ALIZOKUSANYA


Karani mmoja wa Bodi ya Mitihani nchini Nigeria, Philomena Chieshe amefukuzwa kazi baada ya kuwaambia wakaguzi wa hesabu kuwa nyoka alikula naira milioni 36 ambazo ni dola 100,000 (Tsh milioni 227) alizokuwa amekusanya.

Bodi hiyo ya mtihania imesema kuwa imeyakataa madai yake na imeanisha kumchukulia hatua za kinidhamu.

Kisa hicho kimezua shutuma na dhihaka kwenye mitandao ya kijamio nchini Nigeria. Nayo tume ya kupambana na rushwa nchini Nigeria iliandika ujumbe huu katika Twitter ambayo nembo yake ni mwewe.

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

SMS na MESEJI 900+ za mapenzi

MIAKA 22 SASA TANGU KUZAMA KWA MELI KUBWA YA MV BUKOBA, TANZANI TUMEJIFUNZA NINI?