Skip to main content

Mwanachuo Amchinja Mwanae Na Kumla Utumbo


Mwanafunzi wa chuo kimoja kikuu nchini Kenya amemuua kinyama bintiye mwenye umri wa miaka miwili na kula viungo vyake vya ndani.

Msichana huyo mwenye umri wa miaka 24 alijifungia ndani ya chumba chake akiwa uchi wa mnyama na kumchinja kama mnyama bintiye “huku akinena kwa lugha na ndimi sisizoeleweka.”

Majirani wa mwanafunzi huyo wa somo la biashara aliye na misuli mithili ya mwanaume walisema walishtushwa na makelele ya mtoto huyo aliyekuwa anaomba msaada.

Majirani walidhania kwamba amevamiwa na majmbazi, ndipo wakamkuta mwanachuo huyo aliyetambuliwa kwa jina Olivia Kaserran akifanya kitendo hicho.

Hadi wanafanikiwa kuvunja mlango tayari Olivia alikuwa amemuua bintiye. Baada ya muda Polisi walifika na kumtia nguvuni.

Credit: mcshonde.com

Comments

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

SMS na MESEJI 900+ za mapenzi

MIAKA 22 SASA TANGU KUZAMA KWA MELI KUBWA YA MV BUKOBA, TANZANI TUMEJIFUNZA NINI?