MDOGO WA BAPPE ASAINI PSG

MDOGO wa nyota wa kabumbu wa Klabu ya Paris Saint-Germain, Kylian Mbappe aitwaye Ethan Mbappe mwenye umri wa miaka 15, amesaini kandarasi mpya ya miaka mitatu hadi 2024 klabu hiyo ya Paris Saint-Germain.

 

Ethan ana uwezo wa kucheza kama mshambuliaji wa kati au winga ambaye alikuwa na kiwango bora kabisa kwenye mashindano ya International Champions Cup ya mwaka 2019.

 

Pia PSG kupitia tovuti yake wametangaza kumsajili Kinda Senny Mayulu ambaye amezaliwa mwaka 2006 na amesaini mkataba wa miaka mitatu mpaka 2024

Comments

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

SMS na MESEJI 900+ za mapenzi

MIAKA 22 SASA TANGU KUZAMA KWA MELI KUBWA YA MV BUKOBA, TANZANI TUMEJIFUNZA NINI?