Akaunti za mitandao ya kijamii ya Twitter na Facebook ya Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta zimefungwa kwa muda kupisha uchunguzi wa madai ya udukuzi baada ya kuandikwa kwa ujumbe kuhusu vita dhidi ya ufisadi. Mkuu wa Utumishi, Ofisi ya Rais Kenya, Nzioka Waita amesema.