MMILIKI MABASI YA ZACHARIA AWAPIGA RISASI USALAMA WA TAIFA


MMILIKI wa mabasi ya ‘Zacharia’,  Peter Zacharia,  anashikiliwa na vyombo vya dola mkoani Mara kwa tuhuma za kuwapiga risasi maofisa wa Idara ya Usalama wa Taifa wakiwa katika majukumu yao.
Maofisa hao wanasemekana wako hospitali ya mjini Tarime wakipata matibabu ambapo mmiliki huyo wa mabasi anategemewa kufikishwa mahakamani wakati wowote.

Comments

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

SMS na MESEJI 900+ za mapenzi

MIAKA 22 SASA TANGU KUZAMA KWA MELI KUBWA YA MV BUKOBA, TANZANI TUMEJIFUNZA NINI?