Msanii wa muziki Bongo kutoka label ya WCB, Harmonize ameachia video ya wimbo wake mpya aliomshirikisha Msanii Sarkodie.