Gigy Money ajifungua Mtoto wa Kike

Msanii wa muziki wa bongo fleva nchini  Gift Stanford maarufu kamaGigy Money, amefanikiwa kujifungua salama mtoto wa kike na kumpatia jina la Myra.

Gigy Money anatoka kimapenzi na mtangazaji wa Choice FM, Mo J ambaye pia ni baba mzazi wa mtoto huyo aliyezaliwa jana.

Gigy na Mo J kabla ya kuzaliwa kwa mtoto huyo walikuwa wakijiita Baba Candy na Mama Candy ila mara baada ya kuzaliwa kwa mtoto huyo wamesema hawatatumia tena jina hilo na tayari wamempa mtoto wao jina la Myra.

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

SMS na MESEJI 900+ za mapenzi

MIAKA 22 SASA TANGU KUZAMA KWA MELI KUBWA YA MV BUKOBA, TANZANI TUMEJIFUNZA NINI?