UMEIPATA HII YA WEMA NA RC MAKONDA LEO?



Mwigizaji Wema Sepetu bado anazo headlines za baada ya kurudi CCM ambapo leo kaendelea kuandika ya moyoni kuhusu uhusiano wake na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.
Maneno yake aliyoyatoa leo ni haya >>>“Sikukufahamu vyema mpaka nilipokuchukia, na sasa nilipokutana na wewe nashukuru Mungu nimekupata maana hata kila wingu jeusi huwa na rangi ya fedha”

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

SMS na MESEJI 900+ za mapenzi

MIAKA 22 SASA TANGU KUZAMA KWA MELI KUBWA YA MV BUKOBA, TANZANI TUMEJIFUNZA NINI?