Beki wa zamani wa kimataifa wa England na klabu ya Manchester United, Rio Ferdinand akifanya mazoezi ya ngumi chini ya kocha wake, Richie Woodhall katika kambi ya Dubai kujiandaa kuingia kwenye ngumi za kulipwa baada ya kustaafu soka ya ushindani mwaka 2015.