DR LOUIS SHIKA MIMI SIO MBABAISHAJI AONESHA KAMPUNI YAKE MTANDAONI



Bado jina la Dr. Luis Shika lipo kwenye vichwa vya habari na ni baada ya kuachiwa kwa dhamana na Polisi Dar es salaam jana ambapo alikamatwa wiki iliyopita kwa kuharibu mnada, mnada ambao alijinadi kununua nyumba za Bilioni 2 kumbe hana pesa mfuko katika mahojiano baada ya kupata nafasi ya kumtembelea Dr. Luis Shika nyumbani kwake Tabata na kuwaambia Watanzania ambao hawaamini kwamba anamiliki Kampuni huko Russia kwamba yeye sio Mbabaishaji…. jionee mwenyewe kwenye hii video hapa chini
VIDEO:kwahisani ya Ayo TV Masshele Blog

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

SMS na MESEJI 900+ za mapenzi

MIAKA 22 SASA TANGU KUZAMA KWA MELI KUBWA YA MV BUKOBA, TANZANI TUMEJIFUNZA NINI?