CCM yashinda kata nne Arumeru Mashariki

Chama cha Mapinduzi (CCM), kimeshinda kata nne za Arumeru Mashari ambazo wagombea wa Chadema wamejitoa.

Kata hizo na matokeo yake ni kama ifuatavyo, Makiba Samson Laizer (CCM) kura 2,029 na Joyce Martin (Chadema) kura 608.

Kata ya Ambuleni, Jasephat Jackson (CCM) kura 2,057 na

Dominick Mollel (Chadema) kura 1,201. Kata ya Leguruki

Andason Sikawa (CCM) kura 3,023 na Daniel Mbise(Chadema) kura 287.

Kata ya Maroroni, Yoha Kaaya (CCM) kura 3,568 na Asanterabi Mbise (Chadema) 1,201.

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

SMS na MESEJI 900+ za mapenzi

MIAKA 22 SASA TANGU KUZAMA KWA MELI KUBWA YA MV BUKOBA, TANZANI TUMEJIFUNZA NINI?