Ni taarifa ya ajali iliyotokea mchana huu kwenye mkoa wa Kilimanjaro eneo la kikavu kwa Sadala baada ya Gari la maji ya Kilimanjaro ambalo ndio chanzo cha ajali, kulipita gari jingine na kugongana uso kwa uso na Noah ya abiria iliyokua ikitokea Moshi Mjini kwenda Sanja Juu.
Inasemekana ni watu wanne wamepoteza maisha kwenye ajali hiyo , majeruhi wamepelekwa hospitali. Taarifa zaidi utazipata hapa hapa massheleblog.