Vigezo Sifa Za Kujiunga Na Jeshi La Polisi
- Get link
- X
- Other Apps
By
editor
-
CONTENTS
1. SIFA ZA KUJIUNGA NA POLISI
2. Vyuo vya Upolisi
3. Chuo Cha polisi Moshi CCP
1. AWE NA UMRI KUANZIA MIAKA 18 HADI 25.
2. AWE AMEHITIMU KIDATO CHA NNE NA KUWA NA UFAULU WA DARAJA LA KWANZA HADI LA NNE KWA ALAMA 28.
3. AWE NA UREFU USIOPUNGUA 5’3” KWA WASICHANA NA
5’6” KWA WAVULANA.
4. AWE NA AFYA NJEMA ILIYOTHIBITISHWA NA DAKTARI WA SERIKALI.
- ASIWE NA ULEMAVU WA VIUNGO
- ASIWE NA MAKOVU MAKUBWA
- ASIWE NA CHATA MWILINI (TATOOS)
6. AWE TAYARI KUFANYA KAZI MAHALI POPOTE NDANI NA NJE YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
7. AWE NA MOYO WA UVUMILIVU PIA AWE MBUNIFU ILI KUPAMBANA NA CHANGAMOTO ZA KIUSALAMA.
2 . VYUO VYA UPOLISI
vyuo vya Upolisi vipo viwili maarufu Tanzania. Kama unasifa tajwa hapo juu vyuo vya Upolisi UNAVYOWEZA kujiunga na Upolisi no
2.1 CHUO CHA POLISI MOSHI
2.2 CHUO CHA POLISI DAR ES SALAAM.
Reference: https://www.polisi.go.tz/
- Get link
- X
- Other Apps
Hello am from Tanga I have my relative he wants to join police force how he can join from Tanga?
ReplyDeleteJe kwa elimu ya chuo umri gani unahitajika
ReplyDeleteNi jinsi gani ya kutuma maombi katika jeshi la polisi
ReplyDeleteKwa mtu aliyehitimu chuo kikuu anatakiwa awe na umri gani ili ajiunge na chuo cha mafunzo ya jeshi la polisi?
ReplyDelete