Vigezo Sifa Za Kujiunga Na Jeshi La Polisi


Kujiunga na upolisi
Vigezo vya kujiunga na upolisi




Vigezo Sifa Za Kujiunga Na Mafunzo ya upolisi

MUOMBAJI ANATAKIWA: AWE MTANZANIA KWA KUZALIWA.
1. AWE NA UMRI KUANZIA MIAKA 18 HADI 25.
2. AWE AMEHITIMU KIDATO CHA NNE NA KUWA NA UFAULU WA DARAJA LA KWANZA HADI LA NNE KWA ALAMA 28.
3. AWE NA UREFU USIOPUNGUA 5’3” KWA WASICHANA NA
5’6” KWA WAVULANA.
4. AWE NA AFYA NJEMA ILIYOTHIBITISHWA NA DAKTARI WA SERIKALI.
  • ASIWE NA ULEMAVU WA VIUNGO
  • ASIWE NA MAKOVU MAKUBWA
  • ASIWE NA CHATA MWILINI (TATOOS)
5. ASIWE NA KUMBUKUMBU ZA UHALIFU.
6. AWE TAYARI KUFANYA KAZI MAHALI POPOTE NDANI NA NJE YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
7. AWE NA MOYO WA UVUMILIVU PIA AWE MBUNIFU ILI KUPAMBANA NA CHANGAMOTO ZA KIUSALAMA.
 2 . VYUO VYA UPOLISI
vyuo vya Upolisi vipo viwili maarufu Tanzania. Kama unasifa tajwa hapo juu vyuo  vya Upolisi  UNAVYOWEZA kujiunga na Upolisi no 
 2.1 CHUO CHA POLISI MOSHI
 2.2 CHUO CHA POLISI DAR ES SALAAM.

Comments

  1. Hello am from Tanga I have my relative he wants to join police force how he can join from Tanga?

    ReplyDelete
  2. Je kwa elimu ya chuo umri gani unahitajika

    ReplyDelete
  3. Ni jinsi gani ya kutuma maombi katika jeshi la polisi

    ReplyDelete
  4. Kwa mtu aliyehitimu chuo kikuu anatakiwa awe na umri gani ili ajiunge na chuo cha mafunzo ya jeshi la polisi?

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

SMS na MESEJI 900+ za mapenzi

MIAKA 22 SASA TANGU KUZAMA KWA MELI KUBWA YA MV BUKOBA, TANZANI TUMEJIFUNZA NINI?