VIDEO | Lava Lava Ft. Diamond Platnumz – Tuna Kikao

Tuna kikao video ni ngoma mpya ya staa wa muziki Lava lava ndani ya lebo ya muziki Tanzania WCB inayoongozwa na nguli wa muziki wa bongo fleva Tanzania Diamond platnumz. Katika ngoma hiyo ya tuna kikao lava lava amemshirikisha bosi wake ndani ya lebo ya WCB diamond Platnumz. Kudownload video ya tunakikao ya lavalava Ft diamond Platnumz hapa