Matokeo ya Darasa la 7
Matokeo ya Darasa la saba

Baraza la Mitihani la Tanzania linatarajia kutangaza matokeo ya Kumaliza Elimu ya Msingi 2022 leo tarehe 1/12/2022. Matangazo hayo yatarushwa mubashara ( live) kupitia youtube channel  ya nectaoline tv.

Bofya >HAPA>> kuangalia matokeo