Madhara ya Kumuibia mtu Simu Yake

Wizi ni mbaya…. Usiwahi iba kitu cha mtu. Mimi naitwa Jacob na kwa kweli niliona cha 

mtema kuni siku niliojaribu kuchukuwa simu ya mtu iliyokuwa imeenguka chini.

Wakati nilipokuwa nimeenda kuona mpira wa Uingereza kwenye klabu fulani mjini 

Eldoret ndipo nilipoona simu ya Samsung imeanguka chini. Niliichukua na kuenda nayo 

nyumbani. Nilikaa na simu hiyo kwa muda wa wiki mbili kisha nikaanza kuitumia lakini 

nilijuta.

Ilianza tu kwa mzaa nilipoona watu watatu wakinitembelea kwa nyumba yangu usiku na 

kuniambia nirejeshe simu kisha wakapotea kighafla. Yaani ilifanyika kama 

mazingaumbwe. Siku ya pili pia nikasikia mabati ya nyumba yangu yakipiga kelele na 

kisha nikaona paka wawili wakighuruma na kuitisha simu. Dah! nilijua kuna jambo 

limefanywa na mwenye simu hiyo. Hiyo siku sikulala.

Nilianza kutafuta mwenye simu hiyo kwenye klabu hicho nilichookota simu na kwa 

bahati nzuri nilimpata na nikamkabidhi simu. Alinicheka na kunionya kuwa nisiwai 

chukua tena kitu chochote cha mtu nisiemfahamu vizuri manake majuto ni mjukuu na 

huja baadaye.

Alinielezea kuwa yeye amejikinga na miti shamba za daktari Kiwanga. Kiwanga Doctors 

ni madaktari wa kiasili ambao husaidia mno kukinga mali ya mtu isiibiwe wala kupotea. 

Kiwanga Doctors ni madaktari wa kiasili ambao wanaweza kutatuwa changamoto nyingi 

kama pia uzazi, utasa na kadhalika.

Ninapoongea nawe sasa hivi hata mimi nimejikinga kutokana na mambo ya wizi wa aina 

yoyote. Boma liko salama.

Pia natoa wito kwa wenye shida za magonjwa, mapenzi, ndoa, biashara, kikazi na afya 

kuharakisha kuwatembelea madaktari wa Kiwanga. Tuvuti au Website yao ni: 

www.kiwangadoctors.com

Simu: +254 769404965 au wasiliana kwa barua pepe yaani 

Email kwa: kiwangadoctors@gmail.com.

Sio lazima usafiri hadi ofisi zao. Ongea nao kwa njia ya simu na utasaidika kwa haraka 

mno kama vile watu wengine wanavyopata usaidizi. Dr. Kiwanga pia anaweza kushika 

wezi, kuzuia mikosi, kumaliza na kushinda kesi kotini, kuimarisha nyota yako ya maisha 

na kikazi na kurudish mke au bwana nyumbani.