KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kina kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya timu ya Taifa ya Uganda, leo Septemba 3 Uwanja wa St Marys, Kitende, Uganda.

Ikumbukwe kwamba mchezo wa leo ni wa mkondo wa pili kwa Stars ikiwa inakumbuka ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 Uwanja wa Mkapa hivyo leo ina kibarua cha kupindua meza ili kusonga mbele CHAN.

Hiki hapa kikosi cha kwanza ambacho kinatarajiwa kuanza namna hii:-

Aishi Manula

Mohamed Zimbwe

Kibwana Shomari

Dickson Job

Bakari Nondo

Jonas Mkude

Mzamiru Yassin

Feitoto

Sopu

John Bocco

 Daniel Lyanga