Hiki hapa kikosi cha simba dhidi ya Tanzania prisons katika mchezo utakaopigwa leo saa 10:00 jioni katika dimba la uhuru