Basi la timu ya Simba  lililokuwa limebeba mashabiki wa Simba na wadau wa michezo, limepata ajali mchana wa leo eneo la Masangano nchini Zambia kilomita chache kabla ya kuingia Kitwe inapochezwa mechi  ya Simba dhidi ya Nkana kesho Jumamosi. Hakuna aliyeumia.