PICHAZ: HALI ILIVYO NYUMBANI KWA MO DEWJI


HII ni taswira halisi ya nyumbani kwa mfanyabiashara Mohammed Dewji (MO) maeneo ya Oysterbay jijini Dar es Salaam ambaye ametekwa leo alfajiri katika eneo ambalo anafanyia mazoezi kila siku (GYM) Colosseum iliyopo maeneo ya Masaki.
Tumeweza kufika eneo amablo anaishi na kuangalia hali halisi ya kwake na kukuta ulinzi mkali unaendelea nyumbani kwake hapo.


Picha kwa hisani ya Global

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

SMS na MESEJI 900+ za mapenzi

MIAKA 22 SASA TANGU KUZAMA KWA MELI KUBWA YA MV BUKOBA, TANZANI TUMEJIFUNZA NINI?