Ungependa kufanya kazi zifuatazo nje ya Tanzania?

Swahili interpreter

Translator/ Swahili /English/ French/ native language etc.

 Teaching linguistics

  Online Translator 

Online language teaching


Kama jibu ni ndio basi Leo nimekuwekea kila kitu hapa.

Fanya yafuatayo.

1. Subscribe katika mtandao Wa Indeed, ili uwe unapokea notification ya kazi Mpya zinazo toka kila Siku

Indeed ninini?
Indeed is an American worldwide employment-related search engine for job listings launched in November 2004 and is co-headquartered in Austin, Texas and Stamford, Connecticut with additional offices around the world. Wikipedia
Founder(s): Paul Forster and Rony Kahan
Headquarters: Austin, Texas & Stamford, 



Hatua za kufuata 

Bofya 

   >>>>>>>>              HAPA

lakini kabla ya kubofya soma yafuatayo
Ukibofya hapo juu itakupeleka katika mtandao Wa indeed  home,  utaona empty place ambapo utahitajika kuweka job title, andika , Swahili job, achana na where , bofya find job hakikisha umejaza job title
Itakuletea kazi za kiswahili mbalimbali, achana Nazo kwanza kwakuwa lengo letu ni Ku subscribe



Shusha chini hadi mwisho utqona maneno , get e-mail update
For the latest Swahili jobs, my email, kisha utaona empty place tia gmail yako ambayo ni active kwa usahihi, kisha bofya maandishi ya blue , Be the first to see new jobs, hapo utakuwa umemaliza watakutumia gmail , fata maelekezo hapo utakuwa umemaliza , kumbuka gmail yako lazima iwe active, na iandikwe kwa usahihi utakuwa unatumiwa kazi Mpya zote zinazo husu Swahili jobs, apply mapema  





Mfano Wa SMS utakazo anza kupokea kila Siku
Niandikie kupitia info.masshele@gmail.com
Hakikisha wakati Wa Ku apply unaweka complete CV,