kama kawaida yangu kuhakikisha hupitwi na kitu katika lugha hii ya kiswahili. Je unaujua ugumu uliopo katika kuunda istilah?

Tena istilahi ngumu za  kisayansi?
Msikilize profesa
Peter mtemsigwa akieleza, namna walivyo fanya Kazi ngumu katika kuunda istilahi. Bofya video kuangalia







shukrani za dhati kwa profesa John mtembezi na bongo production kwakuwezesha video hii kukufikia
Asante na karibu tena masshele blog