NONDO ASOMEWA MASHTAKA MAWILI ANYIMWA DHAMANA
OMARY ABDUL NONDO 

Habari kwa ufupi
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)Profesa William Anangisye, amemsimamisha masomoMwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi (TSNP), Abdul Nondo hadi kesi yake ya kutoa taarifa za uongo mitandaoni na kudanganya kutekwa itakapomalizika. 

Habari kamili:
Taarifa zilizo tufikia hivi punde ni kuwa mwanafunzi Abdul Nondo aliyekuwa anashikiliwa na polisi huku akituhumiwa kusambaza taarifa ambazo jeshi la polisi wanadai ni zauongo juu ya utekaji wake ni kwamba mwanafunzi huyo wa chuo kikuu cha UDSM amesimamishwa masomo hadi hapo kesi yake itakapo fikia muafaka. Awali leo mahakama ilitangaza kuachiliwa huru kwa dhamana
Soma barua kwa undani zaidi.