Diamond kaweka rekodi East Africa ndani ya saa 16



Diamond amevunja rekodi ya Alikiba ambaye alikuwa msanii wa kwanza East Africa kupata views milioni moja kwa saa chache, So Diamond anakuwa msanii wa kwanza Easta Africa video yake kupata views milioni 1 Youtube chini ya masaa 20 toka iachiwe YouTube
.

Comments

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

SMS na MESEJI 900+ za mapenzi

MIAKA 22 SASA TANGU KUZAMA KWA MELI KUBWA YA MV BUKOBA, TANZANI TUMEJIFUNZA NINI?