BREAKING: Mzee aliyechora Nembo ya Taifa amefariki Dunia


Taarifa zilizonifikia kutoka Hospitali ya Muhimbili zinasema mzee Francis Kanyasu maarufu kama Ngosha, ambaye amehusika kwenye kuchora Nembo ya Taifa Tanzania, amefariki dunia akiwa kwenye matibabu hospitalini hapo.
Kwa mujibu wa taarifa inaelezwa kuwa May 29, 2017 hali ya mzee huyo ilibadilika ghafla na madaktari walijitahidi kadri ya uwezo wao kuweza kunusuru maisha yake lakini ilishindikana na akafariki duniani saa 2 usiku.
Mwili wa mzee huyo upo chumba cha kuhifadhia maiti hospitalini hapo ambapo unasubiri mamlaka husika kutoa maelekezo zaidi.
VIDEO: Ulipitwa na maamuzi ya serikali kuhusu aliyechora Nembo ya Serikali? Tazama hapa chini.

VIDEO: Ilikupita hii kauli ya familia nyingine kuhusu mtu sahihi aliyechora Nembo ya Taifa? Bonyeza play kutazama.
+255766605392 Findings comment yako wasap

Comments

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

SMS na MESEJI 900+ za mapenzi

MIAKA 22 SASA TANGU KUZAMA KWA MELI KUBWA YA MV BUKOBA, TANZANI TUMEJIFUNZA NINI?