Wadau waendelea kuonesha masikitiko baada ya mwanafunzi huyu kufukuzwa katika chuo kikuu cha Dar es salaam
BY Erick Mwakikato
Imeniuma sana,Imeniumiza Na kunisikitisha hii Taharifa..!!
Sina Mengi Ya Kuandika Ila Naimani MUNGU yuko pamoja nawe atakusimamia na kukupigania....Akuna Kiumbe Chenye Nguvu ya Mamlaka Chini ya Jua Kuzidi MUNGU .
USIFE MOYO MKUU Alphonce Lusako ...Usichoke Pambania Unachokiamini....Utashinda!!!! Utashinda!!! Utashinda!!!
By Davis Betram Nabii Jr
!Making a great changes can be a scary but not scary as to regret. What we want to see in Tanzania, creating a fair and just Government for the future generation to be in safe place.
My comrade my brother Mpambanaji Alphonce Lusako be strong due to the situation you face now but God he knows what we want for our Country and he will bless in our movements always.
At whatever cost needed but for the Fair and Just future Tanzania (Tanzanian) we must fight💪💪
From your young comrade and brother
Tsnp coordinator in Ruvuma, Mbeya, Iringa and Njombe
Davis Betram Akwangajikason
By Ndeke Wa Ndeke
Najua unajiamini na kuamini maono yako. Huna hofu na kuwasemea wengine. Your destiny is greater than this Alphonce Lusako.
Inaumiza sana lakini never be heart broken brother, you will triumph somewhere else. Ningeweza kukushauri ningekwambia chukua lile chaguo la kuhamia kwingine.
Vijana wa Tanzania wanasikia, na hao ndio wasomi wa kesho, ndio viongozi wa kesho. Leo watasema na kesho watafanya kwa ajili ya watu wa aina yako.

BY Clinton Max
Nimesikitishwa sana juu ya taarifa ya kutenguliwa kwa usajili wake kaka yangu, rafiki yangu na kiongozi wangu Alphonce Lusako katiika chuo kikuu cha Dar Es Salaam.
Ikumbukwe Lusako alifukuzwa Chuo hapa UDSM 2011 katika harakati za kupinga ufisadi uliokuwa unafanyika TCU na HESLB ambapo baada ya kuingia Rais Magufuli ilibainika ni kweli Taasisi hizo za UMMA zilikuwa zikijihusisha na ufisadi mkubwa ikiwemo mikopo hewa na kubainika kuwa wanafunzi hewa na TCU kudaili wanavyuo wasio na vigezo.
Kwa kutambua umuhimu wa elimu ndugu Lusako akaomba upya kusoma sheria UDSM na akachaguliwa na kusajiriwa lakini leo akitokea kwenye mtihani wa kumaliza semesta ya kwanza ndugu Lusako anapewa barua ya kutenguliwa usajiri wake katika chuo hiki.
Imeniuma sana kupata taarifa hii na kujiuliza kwa nini chuo kilimsajiri na kumuacha akilipa gharama ikiwemo ada na vinginevyo huku wakijua sheria za chuo haziruhusu.
Ndugu yangu Lusako nakuomba cool down mungu ana mipango yake hizi ni changamoto za dunia japo natambua ulikuwa na malengo makubwa sana ila still kama ipo ipo hakuna binadamu wa kuzui riziki ya mtu
BY Ivon Ng'umbi
one scholar on the Earth once said "you can't teach old dogs new tricks"..I thought we are in the new era,the period where even the then administrators are thinking differently.Surprisingly, time changes but no change in the minds of the administrators. What is happening to Alphonce Lusako who is a great admirer to change is celebrated by the old dogs whose ideas are old- fashioned.Keep on fighting brother!
Comments
Post a Comment