Rais mteule, William Ruto anaapishwa kuwa Rais wa Kenya leo Jumanne, Septemba 13, 2022 katika Uwanja wa Kasarani jijini Nairobi.