Majina ya wanafunzi wakidato Cha sita waliochaguliwa kujiunga na Jkt kambi zote 2022
TAARIFA KWA UMMA
WITO WA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA MWAKA 2022
Jeshi
la Kujenga Taifa (JKT), linawaita Vijana waliohitimuelimuyasekondari
kidato cha sita kwa mwaka 2022, Kutoka ShulezotezaTanzania Bara
kuhudhuria Mafunzo ya JKT kwa MujibuwaSheria.
Sanjari na wito huo, JKT limewapangia makambi watakayokwenda kupatiwa Mafunzo na wanatakiwa kuripoti makambini
kuanzia tarehe 03 hadi 17 June 2022.
Vijana
walioitwa wamepangwa katika kambi za JKTRwamkoma-Mara, JKT Msange -
Tabora, JKT Ruvu - Pwani, JKTMpwapwa, naMakutupora JKT Dodoma, JKT
Mafinga - Iringa, JKT Mlale-Ruvuma, JKT Mgambo na JKT Maramba -Tanga,
JKT Makuyuni -Arusha, JKT Bulombora, JKT Kanembwa, na JKT Mtabila-
Kigoma,JKT Itaka - Songwe, JKT Luwa na JKT Milundikwa - Rukwa, JKT
Nachingwea - Lindi na JKT Kibiti- Pwani na Oljoro JKT- Arusha.
Wahitimu wenye ulemavu wa kuonekana kwa macho(Physical
disabilities) waripoti katika kambi ya Ruvu JKT iliyopoMlandizi
Mkoani Pwani ambayo ina miundombinu ya kuhudumiawatuwajamii hiyo.
JKT
linawataka vijana hao kuripoti wakiwa na vifaa vifuatavyo. 1. Bukta ya
rangi ya ‘Dark Blue’ yenye mpirakiunoni
(lastic), iliyo na mfuko mmoja nyuma, urefuunaoishiamagotini, isiyo
na zipu. 2. T-shirt ya rangi ya kijani (Green Vest)
3. Raba za michezo zenye rangi ya kijani au blue. 4. Shuka mbili za
kulalia zenye rangi ya blue bahari. 5. Soksi ndefu za rangi nyeusi. 6.
Nguo za kuzuia baridi kwa waliopangiwa mikoayenyebaridi. 7. Track suit
ya rangi ya kijani au blue. 8. Nyaraka zote zinazohitajika katika
Udahili waKujiungana Elimu ya Juu, zikiwemo cheti vya Kuzaliwa, Vyeti
vyaKuhitimu kidato cha Nne nk
9. Nauli ya kwenda makambini na kurudi nyumbani.
Orodha
kamili ya majina ya vijana walioitwa, Makambi ya JKTwaliyopangiwa na
maeneo yaliyopo pamoja navifaawanavyotakiwa kwenda navyo, Inapatikana
katika tovuti ya JKTambayo ni www.jkt.go.tz
Mkuu
wa JKT Meja Jenerali Rajabu Mabele, Anawakaribishavijanawote walioitwa
ili waweze kujiunga na vijana wenzaokatikakujifunza Uzalendo, Umoja wa
kitaifa, Stadi za kazi, Stadi zaMaisha na Utayari wa Kulijenga na
Kulitumikia Taifa.
Imetolewana:Kurugenzi ya Habari naUhusiano,Makao Makuu ya JKT
Tarehe 31 May 2022.
Comments
Post a Comment