Maskini, TANZIA habari mbaya watoto wa mchezaji wa simba waaga dunia

Klabu ya Simba imepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa ya msiba wa watoto wa mchezaji wetu Juuko Murshid vilivyotokea leo huko kwao nchini Uganda.
Vifo vya watoto hao watatu vimekuja katika kipindi hiki ambapo mchezaji wetu huyo wa kimataifa, akiwa kwenye maandalizi ya fainali za mashindano ya Afcon, yanayotarajia kuanza katikati ya mwezi ujao.
Tunajua uzito wa kufiwa na watoto hao, na tunatambua uchungu alionao nyota wetu huyo, yeye pamoja na mkewe, lakini tunaamini Mungu atawapa subira na uvumilivu mkubwa katika kipindi hiki kigumu wanachopitia.
Mwisho klabu inawatakia Wanasimba na Watanzania wote heri ya mwaka mpya 2017.
Imetolewa na.
*Haji S Manara*
Mkuu wa Habari wa Simba SC.
Comments



Comments

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

SMS na MESEJI 900+ za mapenzi

MIAKA 22 SASA TANGU KUZAMA KWA MELI KUBWA YA MV BUKOBA, TANZANI TUMEJIFUNZA NINI?