Taarifa ambazo hazijathibitishwa kutoka vyanzo mbalimbali zinaeleza kuwa klabu ya Azam inaangalia uwezekano wa kumpata mshambuliaji wa kati wa Yanga Clement Mzize kwa ajili ya kurithi viatu vya mshambuliaji wao Prince Dube aliyeaga klabuni hapo.

Pia Azam inaweza kukaa mezani na Yanga SC juu ya kubadilishana wachezaji hao wawili (Swap Deal) kulingana na mazungumzo ya dili hilo yatakavyokwenda.